Monday, January 26, 2015

WASANII WALIPOTUMBUIZA TIGO MUSIC!


Khadija Omari Kopa akiwa na wacheza Show wake kwenye tamasha la Tigo Music, lilifanyika usiku wa Jumamosi ya Jan 24 mwaka huu.

Mze Bichuka wa Sikinde nae alibichuka vilivyo!
Juma Katundu wa Msondo Ngoma nae akateremsha Msondo wa NGUVU.
Wakirithi mikoba ya Kina Mze Gurumo na TX Moshi William!
Romario na Totoo ya Moshi, TX JR (kulia).
Mashabiki nao hawakua nyuma ya Pazia, walikaa mbele ya Pazia!
Nivue ni sivue! vuaaaaaaa! Aaaaaaa nivuee eeeee!
Waowwwwwwwwww!
Ebanaeeeeeeee! simchezooo!
Miduduuuuuuuu!
Hawa ni wa Mashauzi Classic Twaaaarab Band!
Daktari Fenera Mukangara Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo aliungana na vijana kwenye tamasha hilo na lililokutanisha wasanii Kibaoooo!
Wasanii msikubali kuzinguliwa kwenye mikataba muwe makini mnaposaini, msome kwanza then ndio mnasaini.
Malaika Band Kazini.
Twende kaaaaaaz!
Hata bila Bella tunaweza!
Siunaoona!
Bela na Yamoto Band, Kachumbali imewekwa achali, unaonaje hapo!