Habari za Mtaani

MATAPELI WA BUGURUNI
ETI TAPELI ANAKWAMBIA KUWA YEYE NDIYE ALIYEMFANYA HADI BALESA AMEKUWA TAJIRI VILE UKIMWANGALIA KACHOKA YEYE APENDI KUWA TAJIRI MBONA SIYO TAJIRI ANAKUJA KUKUTAPELI NAWE ULIVYOKUWA NA AKILI VYETU UNAKUBALI KWELI UNAINGIA MKEKE.
JIADHARINI NA MATAPELI WA BUGURUNI, HIVI MTU ANAKUTOA UBUNGO KWENYE KITUO CHA BASI, AMA ANAKUTOA SEHEMU YOYOTE KITUO CHOCHTE CHA DARADARA AMECHOKA ANAKUELEZA KUWA YEYE MGANGA WEWE UNAMATATIZO UNAKUBALI UNAKWENDA NAYE HADI BUGURUNI ANAKUPA MAUCHAFU ULE ANAKWAMBIA DAWA UNAKULA UNALEWA ANAKUIBIA UNASEMA WALIKUWA NA DAWA WE SI MWEHU WEWE. ACHA UJINGA HAKUNA KITU CHA BURE BONGO JIADHARI NAO MATAPELI WAPO WENGI WANAMBINU NYINGI...TAFUTA KWA JASHO LAKO WOTE WANAOTAPELIWA AMA KUPORWA UKIWAHOJI WANAKWAMBIA WALINIAMBIA NITAKUWA TAJIRI, WALINIAMBIA NIKAOKOTE ELA PUMBAVU ZENU MNAOTAPELIWA KIJINGA HIVYO.
&&&&&
 
HERI YA MWAKA MPYA MABIBI NA MABWANA HULEEEEEEEEEEEE!!!!

WAKATI watu wengine wakiwa wamebaki katika luninga zao kuhakikisha kama matangazo ya Analogia yanazimwa rasmi na kukaribishwa Digitali sisi tulikuwa mtani tukiwashuhudia baadhi ya watu wakiukaribisha mawaka kwa staili zao wanazojua wenyewe huku wakiamini kuwa ndizo zinazowapa furaha.
Hivi ndivyo mwaka mpya ulivyokaribishwa katika mitaa mbalimbali jijini Dar es salaam kama inavyoonekana katika picha hizo chini fuatilia unaweza ukajiona kama ulikuwepo katika harakati hizo.
Lakini baadhi ya watu hawa walipopita na vigoma vyao huku wakiukaribisha mwaka wengine walivunja vibanda vya watu huku wakingoa mabati ya uzio kwa baadhi ya nyumba hali ilikuwa hovyo kwa upande mwingine kwani ilikuwa vurugu huku wengine wakivunja taa katika baadhi ya nyumba ili kuleta kiza waweze kufanikisha hatma za wizi wa mali za watu waliokuwa wamepumzika baada ya kuukaribisha mwaka na kisha kuingia katika majumba yao na kulala.
Ilelele ile leleee tumeuona, Ilelele ile leleee tumeuona, tumeuona eheeeeee
Ahiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Moto kwa kwenda mbele wanahatari jamaa hawa wangehoma Camera sijui picha zingepatikanaje.
ILALA ilikuwa mwendo wa Mbio tu wamama, Wababa, Vijana na watoto
Waliochoka walitembea Hapa Buguruni Malapa
Dufu nazo hazijacheza mbali zilikaribisha mwaka 2013 kwa aina yake
Naukatutoe kwenye gazetiiiiii, tumeshauona 2013
Utemi ulikuwepo, vifua vilionyeshwa wasiokuwa na miili mikubwa ....
Huku wapi vile nimesahau...
Pompolilo lilo eheeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!! Mwaka mpya aaaaaaaa
Mh!!! nirudi nyumbani mie mama asije kunikuta huku ikawa balaa
Ahaaaaaaaaaaa, ni furahaaa tupu siyo unapiga picha tu nawe njoo ucheze nasi


No comments:

Post a Comment

Comment