Khadija Omari Kopa akiwa na wacheza Show wake kwenye tamasha la Tigo Music, lilifanyika usiku wa Jumamosi ya Jan 24 mwaka huu. |
Mze Bichuka wa Sikinde nae alibichuka vilivyo! |
Juma Katundu wa Msondo Ngoma nae akateremsha Msondo wa NGUVU. |
Wakirithi mikoba ya Kina Mze Gurumo na TX Moshi William! |
Romario na Totoo ya Moshi, TX JR (kulia). |
Mashabiki nao hawakua nyuma ya Pazia, walikaa mbele ya Pazia! |
Nivue ni sivue! vuaaaaaaa! Aaaaaaa nivuee eeeee! |
Waowwwwwwwwww! |
Ebanaeeeeeeee! simchezooo! |
Miduduuuuuuuu! |
Hawa ni wa Mashauzi Classic Twaaaarab Band! |
Daktari Fenera Mukangara Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo aliungana na vijana kwenye tamasha hilo na lililokutanisha wasanii Kibaoooo! |
Wasanii msikubali kuzinguliwa kwenye mikataba muwe makini mnaposaini, msome kwanza then ndio mnasaini. |
Malaika Band Kazini. |
Twende kaaaaaaz! |
Hata bila Bella tunaweza! |
Siunaoona! |
Bela na Yamoto Band, Kachumbali imewekwa achali, unaonaje hapo! |
No comments:
Post a Comment
Comment