Banaaaaa! usitupige picha mi nampongeza tu kwa kuzoa tuzo mbili
Kallage unamuona yule nimemwambia asitupige picha yeye kapiga hayaaaa! mi simooooo!
Au nimpe na simu yangu atupige vizuri mh! ila hapa Bongo akiondoka nayo ahaaaa! Mimi kutoka Nigeria na wadau wengine wa sanaa ya filamu ZIFF hiyo.
He! mwanga umetokea wapi?
Oya! muone yule anatupiga picha, kule katupiga picha na huku katufuata wakati tunatazama filamu kwa raha zetu, huyo jamaa anayepiga simu hapo akaja juu oya! kwa nini unatupiga picha, nishakuona tangu kule wewe wa gazeti la udaku siyo wa ZIFF maneno mengi yakamtoka Nikajiuliza maswali mengi lakini sikupata connection na watu wa magazeti pendwa ili wamchunguze huyu jamaa alikuwa anajifucha nini asipigwe picha wakati alikuwa karibu na dada huyu staa kwenye bongo filamu.Lengo letu lilikuwa kuwaonyesha mashabiki wa msichana huyo wa Bongo Dsm kwamba yupo na wakati huo alikuwa Zenji, Ngome Kongwe katika utoaji wa tuzo za ZIFF, ila huyu jamaa wala hatumjui ila ilikuwa ngumu kumkwepa wakati alikuwa karibu muda mrefu na dada huyu alafu naye anakamera na alikuwa akipiga picha watu maarufu sasa nikapata shaka yeye anaogopa nini au aliokuwa akiwapiga picha aliwaomba kwanza ruhusa ndipo aliwapiga kama alivyotaka yeye.