Wednesday, July 2, 2014

BALOZI WA LIPYA TANZANIA AJILIPUA KWA RISASI

BALOZI Msaidizi wa Libya nchini anadaiwa kufariki dunia baada ya kujipiga risasi mwenyewe majira ya saa saba usiku katika chumba cha ofisi za ubalozi huo.

Inadaiwa wananchi wanaoishi karibu na ubalozi huo walisikia mlio wa risasi uliotokea chumbani kwake lakini walipotumia nguvu kufungua mlango huo walikuta balozi huyo akiwa katika hali mbaya na baada ya kumkimbiza hospitali alifariki dunia.

  Kwa taarifa zaidi tutawaletea hapa hapa pitia mara kwa mara uone mwendelezo wa taarifa hii

No comments:

Post a Comment

Comment