MFANYAKAZI wa Idara ya Matangazo katika kampuni inayochapisha magazeti ya Mwananchi, The Citizeni na Mwanaspiti, Mwananchi Communications ltd (MCL), Desmond Amlina hivi karibuni amefunga ndoa na Janepher Mkumbo, Songea mkoani Ruvuma.
Desmund alikuwa Captein wa timu ya wasiooa lakini sasa ameamua kuhama timu hiyo kaona haina manufaa kwake maana wanaulizana sana tupo wangapi? kaamua kuamia kwenye timu ya nipo na huyu tu, tehe tehe teheeeee!! hongera Desmund.
Desmund alikuwa Captein wa timu ya wasiooa lakini sasa ameamua kuhama timu hiyo kaona haina manufaa kwake maana wanaulizana sana tupo wangapi? kaamua kuamia kwenye timu ya nipo na huyu tu, tehe tehe teheeeee!! hongera Desmund.
Janepher Mkumboa akiwa saloni maeneo katika maandalizi ya kuelekea katika
sherehe yake ya kuagwa iliyofanyika Sinza jijini Dar es saslaam akiwa na mpambe wake anaitwa Hadija
Eheee! We Fredrick unamuona wife to be anavyoyarudi
kumbe anaweza kucheza ahaa!!! nimepata mke
Du! sijui Desmund ananiona, sijui anafurahia ninavyocheza eti Hadija? Anakuona
Karibuni mvinyo wanandugu, wapendwa wangu leo nawaaga
nami hivi karibuni nitakuwa kwangu jina litabadilika kidogo nitaiwtwa Mrs. Desmund, mtanitaka
Mrs. Amlima hapa alikuwa mtarajiwa akiwa na mpambe wake, Bi. Hadija
wakati wa sherehe ya kumuaga iliyofanyika jijini Dar es salaam maeneo ya Sinza
Dada na Kaka wanafuatilia kwa makini kabisa yanayotokea ukumbini hapa
hii ni send off jamani
'Nimekubamba ole wako ungejificha mbali nisingekutafuta' Janepher Mkumbo
akiwa amefanikiwa kumpata mumewe lakini kipindi hicho alikuwa mtarajiwa wake.
'Nishamuona kinachofuata kujisosomola karibuni wote ata mnaoniangalia kuitia blog hii
'Mke wangu natarajia zaidi ya hivi.......' 'We bado mi siyo mkeo ata ndoa bado unaniita mke.. sitaki'
Sasa mnaotuona mbele yenu ndiyo watarajiwa tukiwa na wapambe wetu,
tunawakaribisha sana katika harusi yetu tutakayoifungia Songea
tunawakaribisha sana katika harusi yetu tutakayoifungia Songea
Hawa ni wanakamati wetu, walifanya kazi kubwa sana zaidi hata
ya wapiga kampeni wa Obama
ya wapiga kampeni wa Obama
Waangalie vizuri kwa hapa, hawana kinyongo ukiwahitaji katika sherehe yako
wasiliana na
Desmund Amlima
wasiliana na
Desmund Amlima
'Siku ya Ndoa tunaelekea Kanisani'
Jamani tuimbe badi mwanetu kapendeza... aya shangazi anzisha ule wimbo wa kilugha..
Tumeshafika katika Kanisa katoriki la Bikira Maria Mjimwema, Songea
siyo Kigamboni wala Kigoma... wala siyo Moshi haoa ni Songea.
siyo Kigamboni wala Kigoma... wala siyo Moshi haoa ni Songea.
Desmund Amlima na Janepher Mkumbo wakiwa wamesimama imara kanisani
wakimsikiliza Padre anayeongoza misa ambaye hayupo pichani
wakimsikiliza Padre anayeongoza misa ambaye hayupo pichani
Waumini waliohudhuria siku ya harusihiyo iliyofanyika katika
Kanisa la Bikira Maria Mjimwema, Songea
Kanisa la Bikira Maria Mjimwema, Songea
Padri Finehas Amlima akaanza kutufungisha ndoa hapa ilifika wakati wa Desmund kuulizwa akaanza kujieleza Mimi Desmund Amlima nimekubali kwa moyo wangu kumuoa Janepher Mkumbo kwa...
Mambo yanaendelea, Pokea Pete hii uwe mke wangu wa maisha,
tuvumiliane kwenye shida na laha, Mungu nisaidie
tuvumiliane kwenye shida na laha, Mungu nisaidie
Eheee! Wakaunganishwa kuwa mwili mmoja, Padri Finehas akiwaunganisha
Desmund na Janepher kama ishara ya mwili mmoja
Desmund na Janepher kama ishara ya mwili mmoja
Ninyi sasa mmnakuwa mwili mmoja sema haya,
' Mimi Desmund Amlima nimekubali kumuoa Janepher kuwa mke wangu
katika shida na laha hadi kifo...
' Mimi Desmund Amlima nimekubali kumuoa Janepher kuwa mke wangu
katika shida na laha hadi kifo...
Jamani mbona hampigi vigeregere... mi nishamaliza hapa
Sasa mu mwili mmoja nendeni mkaijaze dunia,
alilounganisha Mungu binadamu hawezi kutenganisha...Amina
alilounganisha Mungu binadamu hawezi kutenganisha...Amina
Nawapa msalaba huu umaanishe ishara na uzidishe imani ya ulinzi
katika ndoa yenu aaminie ...
Bwana Desmund Amlima na Amani iwe nanyi mshakuwa mke na mume kwa Bwana
Tushakuwa mke na mume. Kutoka nje ya ndoa dhambi kwa Mungu
Ndoa teyari sasa ushahidi, Desmund Amlima akitia sahii katika
cheti chake cha ndoa huku mkewe kulia na padri aliyefungisha ndoa yao
akiwa kushoto wakimuangalia kwa ukaribu.
cheti chake cha ndoa huku mkewe kulia na padri aliyefungisha ndoa yao
akiwa kushoto wakimuangalia kwa ukaribu.
'Zamu yangu sasa' Bi Janepher akitia sahini katika cheti cha ndoa yao
Shahidi, somebody Kapinga naye alitia sahini huku Mrs Kapinga akimshuhudia
Eheee!! kumbe Mrs. Kapinga naye ndiye msimamizi wa Bi Janepher
safi sana mbwana na bibi...ahaaaaa!!!
Padri, Finehas akamalizia baada ya kuhakiki kama sahii
za wanandoa hao ni sahii halisi naye alitia ya kwake ilikukamilisha uthibitisho
Ahaaaa!! Siamini .... ata mi siamini... ndiyo mmeshafunga ndoa sasa
mkawe mke na mume mwema mambo ya panching beg hayana nafasi tehetehetehe!!!
Baada ya ndoa usiku wake tukaenda kujipongeza maana kuoa na kuolewa
si kitu kidogo kinapaswa kupongezwa
Safi sanaaa Desmund na Janepher kuachana na kambi ya Ukapela safi mwanetu
Nasi tupo pamoja nanyi mkipatwa na jambo lolote jema baya mkiona linapaswa
kutushirikika tushirikisheni tutawasaidia kulitatua, Hongereni sana wanetu mkaishi salama.
Wenyewe tukaingia kufunga kazi, Ahaaa asikwambie mtu kuoa laha mh!!!! ata kuolewa laha Janepher si nimeolewa nafurahia ndoa yangu na Desmund Ahaaaa! safiii safi sanannnaa
Tulikuwa kama wafalme, nilijiona kama mswati ahaaa siyomswati kama chifu wa songea na mke wangu kama malkia wa.... ahaaaaaa!!!
Wamependeza sana au siyo kama haufurahii we mchawi...
Hapa kuna watu wawili mmoja ni Padri mwingine ni MC sasa kazi kwako
Padri yupo wapi na Mc YU WAPI?
Mimi naitwa ..... nipeni mji ili niwatajie....huko siendi nipe mji mwingine..
aha! mmechelewa basi siwatajii
Yote kwa yote Ndoa ilifana sana msiooa na kuolewa muombeni Mungu awapatie mke na mume wema.
Yote kwa yote Ndoa ilifana sana msiooa na kuolewa muombeni Mungu awapatie mke na mume wema.