Kazi ilianza namna hii tunaishukuru Kampuni ya Mwananchi kwa kutupatia location
Tukaenda kwa ndugu yetu Abdulhaziz naye hakuwa na kinyongo tukatumia nyumba yake kama hivi
Hapa ndiyo ndani ya nyumba yake waandishi wanaendelea kuhoji huku wakiwa na vitendea kazi vyao
Kazi inaendelea kama hivi, Man Ziggo, Athuman na Shaks
Adam Masunga: Nakupata poa sana mheshimiwa tunaweza kuanza
Mpemba Fakiii
Mchungaji Tidy Nzunda ni jina tu la kupatia chakula siyo cheo chake cha kanisani
Huyu anaitwa Mpododo, Ivory jina lingine sijui nani vileeee
Kundi la waandishi tukiwa katika harakati za kushuti video yetu
Hamumi TV ahaaaaaa!!!! ipo Buguruni hii huyu ni mtangazi wake anaitwa Adamu Masunga
Mambo bado yanaendelea kama kawaida
Mambo namna hii
Mpododo tena katika harakati za kushuti
Mende wa Jambo Leo, Tidy Nzunda kulia aliwahi kuandikia Tanzania Daima, wa tatu ni Hussein Boga na aliyeshika kameara ambaye anamfuatia anaitwa Athumani
Athumani akiwa katika pozi la wimbo wa Waaandishi wa Habari
No comments:
Post a Comment
Comment